R Rodelite JF-Expert Member Joined Oct 28, 2007 Posts 320 Reaction score 12 Nov 11, 2008 #1 Tulikuwa tukifanya mazoezi pamoja pale YMCA karibu na kanisa la St. Alban Dar....Yeyote anayemfahamu......naomba contact zake.
Tulikuwa tukifanya mazoezi pamoja pale YMCA karibu na kanisa la St. Alban Dar....Yeyote anayemfahamu......naomba contact zake.
Y Yassin JF-Expert Member Joined Jul 23, 2008 Posts 326 Reaction score 9 Nov 11, 2008 #2 Sasa ulikuwa unafanya nae mazoezi lakini hujaeleza lini mwaka gani vitu kama hivyo naona hujasema sasa sisi tutaelewa vipi???
Sasa ulikuwa unafanya nae mazoezi lakini hujaeleza lini mwaka gani vitu kama hivyo naona hujasema sasa sisi tutaelewa vipi???
R Rodelite JF-Expert Member Joined Oct 28, 2007 Posts 320 Reaction score 12 Nov 11, 2008 Thread starter #3 Yassin said: Sasa ulikuwa unafanya nae mazoezi lakini hujaeleza lini mwaka gani vitu kama hivyo naona hujasema sasa sisi tutaelewa vipi??? Click to expand... Mara ya mwisho kumwona ilikuwa mwaka 1994....pale kwa Sensei Dudley Mawalla....Dominica alikuwa akiishi Ukonga wakati huo. Hatujapata kuonana tena.
Yassin said: Sasa ulikuwa unafanya nae mazoezi lakini hujaeleza lini mwaka gani vitu kama hivyo naona hujasema sasa sisi tutaelewa vipi??? Click to expand... Mara ya mwisho kumwona ilikuwa mwaka 1994....pale kwa Sensei Dudley Mawalla....Dominica alikuwa akiishi Ukonga wakati huo. Hatujapata kuonana tena.
K Kichakoro JF-Expert Member Joined Sep 10, 2008 Posts 3,335 Reaction score 6,186 Nov 11, 2008 #4 Yassin said: Sasa ulikuwa unafanya nae mazoezi lakini hujaeleza lini mwaka gani vitu kama hivyo naona hujasema sasa sisi tutaelewa vipi??? Click to expand... Mzeee mbona unauliza kwa hasira hivyo kama wewe ni mdau si useme tu sasa ni mkeo asimtafute......lol just joking
Yassin said: Sasa ulikuwa unafanya nae mazoezi lakini hujaeleza lini mwaka gani vitu kama hivyo naona hujasema sasa sisi tutaelewa vipi??? Click to expand... Mzeee mbona unauliza kwa hasira hivyo kama wewe ni mdau si useme tu sasa ni mkeo asimtafute......lol just joking