Namtafuta Ex-wangu

KichwaBOGA

Member
Joined
Jun 28, 2020
Posts
15
Reaction score
33
Nimedetiwa na wengi ila huyu kiboko, anaitwa Denis James Kizitto. Huyu mkaka tulikutana mara ya kwanza hapo Mlimani City nikiwa kwenye shopping zangu akanitrap nikatrapika tukaanza mambo yetu.

Tulipotezana ka 2year ago akidai anaenda kwao Mbinga, simu yake haipatikana yaani naumia in-short alipo ajitokeze plz, namba yangu ni ileile 071632... mwisho 8.

Naitwa kichwaBOGA mcharuko wa mjini, limbukeni mpaka wanja asoniweza ataweza?
 
Nimempa ujumbe wako atakutafuta yeye hana smartphone kwa sasa
 
Kumekucha
Kumekucha

Nilidhani Dodoma Tu, Kumbe Dar es salaam Sasa Hivi Mkoani
 
Dennis yupo tu pia yeye anakusalimia anakukumbuka sana tu.
 
Ulivyoandika 'umedetiwa' mimi nilisoma kama 'umetiwa' hata hivyo sijakosea sana au?
 
When you're horny and single😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…