wake za watu wawatafutia nini???? Ngoja nimweleze mumewe kuwa kuna njemba inataka kukumbushia na mkeohuyu dada tulipata kusoma naye, ukwamani shule ya msingi huko gairo.
Baadaye yeye alijiunga na kilakala girls nami nikaenda tanga tech school.
Wakati tukiwa shule enzi hizo alikuwa anatumia anuani yenye s.l.p 70 kimamba.
kama kuna yeyote humu jamvini ana habari zake anijuze tafadhali!! Au iwapo kuna member humu anaweza niunganisha na jamaa yeyote wa kimamba, kilosa nitashukuru sana
wake za watu wawatafutia nini???? Ngoja nimweleze mumewe kuwa kuna njemba inataka kukumbushia na mkeo
FRANSISCA JOHN AlIESOMA KILAKALA YUKO KWANGU NI MKE WANGU ANANISUBIRI NIRUDI TUKADOOO TUU,NYIE MNAMTAKIA NINI?ANANIPIKIA NA KUNIOGESHA NYIE WA NINI MUMKOME MKE WANGU BIASHARA ZENU ZA BABA NA MAMA NA KOMBOLELA MSAHAU SHHHHHHHHHHHHHHHHHIIIIIIT

hamna sehemu nzuri kuondolea stress kama JF

Vp we manager wa aina gani? nimeona kwenye jukwaa la kazi na ajira unadai HIMO ONE kakutafutia ajira ambayo unaanza tar. 2 January 2011 ( Siku ya Jumapili)