Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Jan 11, 2011 #21 Nguli Jabali said: Umenichekesha sana nafahamu movie yake inaitwa Umofia in London huyu jamaa ni mcheshi mtata sana Click to expand... Ni Osuofia in London mkuu, inachekesha sana. Jamaa ni komedian mzuri sn, ana movie nyingine inaitwa "A fool at Forty", ni zaidi ya hiyo tajwa.
Nguli Jabali said: Umenichekesha sana nafahamu movie yake inaitwa Umofia in London huyu jamaa ni mcheshi mtata sana Click to expand... Ni Osuofia in London mkuu, inachekesha sana. Jamaa ni komedian mzuri sn, ana movie nyingine inaitwa "A fool at Forty", ni zaidi ya hiyo tajwa.
M mbongopopo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2008 Posts 1,611 Reaction score 760 Jan 14, 2011 #22 hivi nyie mkoje mnaoleya utani kwani ni kosa kumtafuta mtu?
VoiceOfReason JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,194 Reaction score 1,365 Jan 14, 2011 #23 Mungu akusaidie umpate lakini je atajua wewe ni nani? je anajua hili jina DOMHOME? isije ikawa labda unamdai.....
Mungu akusaidie umpate lakini je atajua wewe ni nani? je anajua hili jina DOMHOME? isije ikawa labda unamdai.....
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Jan 14, 2011 #24 Duuuuuuuu simba mkuu said: he we wapi weye?sasa hii inahuuuuuuuuuuuuuuu?????????acha ushamba kazi yangu haikuhusu au unasaka mume?? Click to expand...
Duuuuuuuu simba mkuu said: he we wapi weye?sasa hii inahuuuuuuuuuuuuuuu?????????acha ushamba kazi yangu haikuhusu au unasaka mume?? Click to expand...