Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
- Thread starter
-
- #41
Dark blue top,green sandals na red pouch....asee wife to be nimependa uchaguzi wake wa rangi...
mkuu mbona ulivaa kizembe sana church.
Self promotion -last two paragraphsIt wasn't an official sunday mass like any other mass....huwa kuna fellowship on wednesdays jioni and ikatokea waka add up na hii ash wednesday..
Nimetoka mzigoni nika dress up casual but wit standards (it depends na quality ya outfit yako, sio kila mtu huvaa mtumba bob)
Kama ulishawahi ishi mbele US or UK for sumtym utanote ni kawaida sanaa kupiga such dress codes on a normal church mass.
Unaambiwa ukimuona nyani mjini jua kaletwa. Kama una kifua (maana tunaambiwa mke wa ntu ni sumu) endelea kumtafutaHabari,
Kuna dada mmoja mkarimu na anaonekana mtaratibu mno namtafuta mazingira haya kuruhusu kupata contacts zake.
Tulikutana leo kanisani jumatano ya majivu....usharika flan lutheran nlichelewa kdgo nikaja nikaketi bench moja na ww (la pili kutoka mwisho kama sikosei)
Nilivaa shati mikono mifupi (a mix of blue & white ) wit dark blue jeans wit sandals. Jamani huyu mdada ki ukweli uongo dhambi ameniteka nikatokea kupendezwa nae na kutamani kuwasiliana nae zaidi na kujenga urafiki.
Ulivaa some sort of a dark blue shirt/top na green sandals...u have a samsung galaxy na a red pouch kwenye bench ulijifunga mtandio (a green one)...tukiwa church nikakusisitiza sanaa uchukue karatasi yenye mafunzo ya utoaji zaka na dhabihu (sadaka) but ukasema sio tatzo if ningebaki na ile karatasi tulizopewa church.
Daah kama upo huku nitafute plz. Nakumbuka uliniaga getini ukiwa unaondoka...nilitingwa na watu nikajikuta nashindwa kuchukua mawasiliano yako. Daamn !!!
Masikini ya Mungu hata jina hukuniambia...
Self promotion -last two paragraphs
lakini ndo kwa bwanaKwa Bwana not necessarily kuwe kanisani.
Yule mdada flan amazing hv ushamuoa au bado looking inaendelea tuSijisifu wala sijiskii namuelimisha aelewe. Wengine hatunaga mikato ya kuulambia kila sehem na mtu akikuambia kavaa hivyo haimaanishi kavaa some cheap rags.
Elewa lugha i just wanted to make friends wit the lady nuthn bad.....uhuni unaingia vipi ?? Utajuaje kama ndie yeye aliyekua nchi yangu (Kanaani) ya ahadi. Tehe
Inaonesha kabisa leo hujasali kitu kabisa. Na lengo lako ilikuwa kutafuta hayo uliyoandika. Kama kweli wewe ni mpenzi wa Mungu basi endelea kusali mara kwa mara pengine naye atarudi na utamuona tena. Halafu sasa kweli ndio uje huku JF umtafute wakati umesema mmekutana Kanisani? Ni jambo la heri kuwa yaonesha ni mtu wa ibada.., hivyo endelea hivyo hivyo tu na utawaona wengi tu wapo. Lakini kuwa makini, wengine huja kwenye ibada au kuwa karibu na Mungu baada kushindwa na maisha ya zamani hasa umalaya mitaani. Ukienda mbio hivyo utalizwa..! Usione vyaelea ujue vimeumbwa mkuu.
Nifah unatafutwaDaah aisee mi ndio usharika wangu huo...im really praying ni meet nae tena. I dnt kno there is something special about that woman.
Weeeh, mwache mchumba wangu aisee,tutazinguana jomba....(joke)
Mkuu jumapili nenda church na ukae seat ileile huku ukiangaza macho alipo huyo mrembo.
Ulikosea palepale kwenye vibaasha vya sadaka ungemwambia aandike na no. yake.
mamtu hayaendi kusali siku hizi. kazi kutafuta mademu tu.
Yule mdada flan amazing hv ushamuoa au bado looking inaendelea tu
Kuvaa inawezekana anajua ila mpangilio wa rangi mie nimeupenda no offence..mtu akiweza kuchanganya rangi hivyo na bado akaweza kuvutia basi vizuri....all the bestI kno unachotaka kueleza like hajui kuvaa...trust me sinaga desturi ya kutongoza ma scraper.
Tha lady is fine and knows how to play it simple...she looked very preety daaah alaf msomi yule.
Unaambiwa ukimuona nyani mjini jua kaletwa. Kama una kifua (maana tunaambiwa mke wa ntu ni sumu) endelea kumtafuta
Siyo vyote ving'aavyo ni dhahabu. Who told you this! au ni pete ndo ukaconfirmShe is not married. Anyway kamaa hakuvaa pete basi wacha niwachane nae. Sitaki balaa.