Namtafuta huyu dada kwa nguvu zote

Hizo style zinahusika sana, halafu unajikuta hata kusali husali, mida yote unaangaza macho kutafuta mlupo.
Ndo unachofanyaga hicho..Jehanamu inabidi iongezwe ukubwa..Wafuasi mnaongezeka kwa kasi
 
Pole boss jitahidi uwe unakwendaa kanisa hilo mungu atakuwa amekuita usali
 
Bahati haiji Mara mbili..
Huwa naamini mara ya kwanza ni coincidence, ikirudia tena it is a gift. kukaa karibu nae it was not planned, hakumuona kabla ya kukaa, alimuona baada ya kukaa. Ikaja tokea tena mazingira yakafanana na haya popote pale mkajikuta tena pamoja katika mazingira yasiyo pangwa. Hapo hakuna kutongoza, uliza swali moja tu, umeolewa? akisema la, basi unamalizia kulikobaki mwenye.
 
Mkuu inawezekana ulimwomba mungu akuoneshe mke kakuonesha, muombe tena akukutanishe nae,mtakutana. Muombe awaongoze katika mapenzi ya kweli (Japo sina hakika kama aliyaumba) na awajalie muwe na furaha tele na familia bora. Ila usiache kwenda kanisani.
 
Kwaresma hii ndugu, utakutana naye siku ya pasaka.
 
Ndio maana kwenye iman yetu tunaambiwa tusali mbalilimbali, mkuu siku hiyo hukumuomba Mungu kabisa. Ulitingwa na mawazo ya kishetani, POLE
 
Sasa halo kwenye kumpata tena ndo kimbembe.. Utakuta Jamaa kwenda kanisani kwa manati
 
"...Kama kaolewa je...?"
 
Kama usharika wako ni huo na humfahamu yawezekana ni mgeni au jini so be care.
 

Hahahaha nimeipenda. Daah ni kweli aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…