ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
mkuu ondoa shaka sauti na mwonekano vinaendana kabisaamdau utakayefuata kuchangia attach na picha yake kamili ili tupime kama sauti yake na mwonekana vinawiana...
Icje ikawa kama ya babra hasanmkuu ondoa shaka sauti na mwonekano vinaendana kabisaa
Kuna Dada mmoja hivi Simfahamu jina wala sura yake wala kazi yake ila namsikia tuu kupitia sauti yake Kiukweli nimejikuta nampenda tuuu kumsikiliza yaani to me anaweza ongea masaa 24 nisichoke kumsikiliza
Najua ni cerebrity na kuna watu watakuwa wanamfahamu humu...Niambieni hata kifupi huyu mtu ni nani? Hata picha yake tuu....
Huwa namsikia clouds FM na Clouds TV kwenye kipindi kimoja tuuuu nacho ni kipindi cha michezo (SPORTS EXTRA) Kwenye segment ya NGUMU Kumezaaa na KWENYE clouds TV NI ile Segment ya SPORTS ROUND UP.....yaani ile misemo yake na mpangilio wa maneno ni inanifanya niwe na shauku ya kumjua na Sauti yake
Mwenye kumjua tafadhari
mdau utakayefuata kuchangia attach na picha yake kamili ili tupime kama sauti yake na mwonekana vinawiana...
Pic plz
Fatmaaaa likwataaa
Dhaaa nmekamis haka
Katoto
Hivi kwenye CLOUDS TV pia humwoni sura yake????? Maana umesema humuui sura lakini unamsikia kwenye CLOUDS FM NA TV. Kwenye radio ni kweli huwezi kuiona sura lakini kwenye TV????Kuna Dada mmoja hivi Simfahamu jina wala sura yake wala kazi yake ila namsikia tuu kupitia sauti yake Kiukweli nimejikuta nampenda tuuu kumsikiliza yaani to me anaweza ongea masaa 24 nisichoke kumsikiliza
Najua ni cerebrity na kuna watu watakuwa wanamfahamu humu...Niambieni hata kifupi huyu mtu ni nani? Hata picha yake tuu....
Huwa namsikia clouds FM na Clouds TV kwenye kipindi kimoja tuuuu nacho ni kipindi cha michezo (SPORTS EXTRA) Kwenye segment ya NGUMU Kumezaaa na KWENYE clouds TV NI ile Segment ya SPORTS ROUND UP.....yaani ile misemo yake na mpangilio wa maneno ni inanifanya niwe na shauku ya kumjua na Sauti yake
Mwenye kumjua tafadhari
hahhaaha dah kwa kweli mana hata mie sikuamini kama ni yeye babra, mana sauti na mwonekano ni tofauti.Icje ikawa kama ya babra hasan
Ulikuwa unakatafuna nn?Fatmaaaa likwataaa
Dhaaa nmekamis haka
Katoto
hzo segment za kwenye TV huwa haonekani huonyesha picha ya tukio na sauti ya msimuliajiHivi kwenye CLOUDS TV pia humwoni sura yake????? Maana umesema humuui sura lakini unamsikia kwenye CLOUDS FM NA TV. Kwenye radio ni kweli huwezi kuiona sura lakini kwenye TV????