Namtafuta huyu jamaa, anaitwa Datius Ernest

Namtafuta huyu jamaa, anaitwa Datius Ernest

Mara ya mwisho nilionana nae Arusha way back huko maeneo ya kijenge karibu na kanisa katoliki, tafadhali kama kuna anayemfahamu au kama yupo humu...namtafuta sana sana.
Ungema na shida yako kwake mkuu, hao mnao watafuta wengini ni ndugu na jamaa zetu. Tunaogopa kuwaambia tunawajua pengine tutawachomea
 
Mimi kazini wananiita datius tunaweza tukatafutana mrembo tukaendelea pale wewe na wajina wangu mlipoishia
 
Ungema na shida yako kwake mkuu, hao mnao watafuta wengini ni ndugu na jamaa zetu. Tunaogopa kuwaambia tunawajua pengine tutawachomea
Nambie kama unampata jamaa mkuu, sina baya nae kuna tuvitu vitu nataka tuviweke sawa
 
Back
Top Bottom