Namtafuta JF member anaitwa Mawio

Namtafuta JF member anaitwa Mawio

mawiomawio


Inaonekana hakuna id yenye jina la Mawio wala Mawia.

Huyu Mawiamawia ni id mpya ya 2023 tu hapo.

Screenshot_2024-10-12-09-32-19-458_com.quoord.jamiiforums.activity-edit.jpg


Hivyo, possibility kubwa ni kwamba alibadili id name yake.
 
Mara ya mwisho kuwasliana na Mawio ilikuwa April mwaka huu naombeni msaada wenu kama kuna mtu anamfahamu
Ulikuwa unawasiliana naye humu humu JF au nje ya mawasiliano ya JF? Last Seen yake ni 31st March na wewe umesema mara ya mwisho kuwasiliana naye ni April means nje ya JF(kwa namba ya kawaida au FB ,TSAP?
 
Back
Top Bottom