Namtafuta JF member anaitwa Mawio

Mara ya mwisho kuwasliana na Mawio ilikuwa April mwaka huu naombeni msaada wenu kama kuna mtu anamfahamu
Ulikuwa unawasiliana naye humu humu JF au nje ya mawasiliano ya JF? Last Seen yake ni 31st March na wewe umesema mara ya mwisho kuwasiliana naye ni April means nje ya JF(kwa namba ya kawaida au FB ,TSAP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…