Namtafuta Julius C Shayo

Namtafuta Julius C Shayo

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,558
Reaction score
1,456
Wana Jamvi kuna msela wangu tumepotezana muda nrefu and I have tried kutafuta contacts zake na mahali alipo but nimeshindwa, sasa JF imetapakaa duniani kote na yawezekana kabisa mshkaji akawa member wa JF au ni Rafiki wa member wa JF.

Jamaa alisoma shule ya Msingi Kijitonyama alimaliza 1994, akapangiwa Azania lakini form Two akahamia Old Moshi Secondary School ( au Gold Moshi Sec School)mpaka 1998, a Level akapangiwa Mzumbe ambako jamaa nadhani hakumalizia pale. Since then Jamaa sijui yuko wapi but hayuko Nchini.

So Yeyote anayefahamu habari za huyu Msela anipe contacts zake

Asanteni Wakulu
 
Back
Top Bottom