okay...unaweza tengeneza website au blog?
Mhhhh jamani nilikuwa najaribu kujiunga na JF, yes I can designe a website any website just let me and I will work it for you
bro are you serious? jamaa amesema kazi yeyote ya IT alafu unauliza kama anaweza kutengeneza website au blog? sasa kwani hizo sio kazi za IT?
IT sii ina mambo mengi je kama yeye mtu wa hardware au programmer?
Labda kiswahili kiwe kimebadilika lakini unaposema kazi yeyote ya IT inafahamika ni aina yeyote ile na iwe software, mildware :eek2: au hardware ni yeyote!!!!
Not just any, inabidi ujifunze kutengeneza website nzuri, isiyoumiza macho na yenye mpangilio unaosomeka.
Karibuni tuna mradi wa kutengeneza tovuti ya klabu yetu, itakayokuwa na lugha mbili kwa kuanzia. Take you time to survey football clubs web designs, this could be your chance.
Umesoma chuo gani? Una uzoefu wowote? Hebu mwaga CV yako kama kweli upo siriaz!Mhhhh jamani nilikuwa najaribu kujiunga na JF, yes I can designe a website any website just let me and I will work it for you