Usingetaja forex ningeweka picha yangu avatarUlienda kusomea Forex?😎
Sio na mimi..na huyo mtoa threadNikaingia wapi na wewe baby
You don't have to worry babe mtoa mada ni pacha wangu, ni nyuki wa mashineniSio na mimi..na huyo mtoa thread
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]sawa loveYou don't have to worry babe mtoa mada ni pacha wangu, ni nyuki wa mashineni
Pacha sio hivyo bwana sikuwa na lengo la kukutusi, am sorry kama nimekuudhi, nilikuwa namaanisha kati ya mimi na wewe hakuna kitu kinaweza kutokeaWtf.....this is what you call us decent guys?
Duuh am sorry pachaHuyu bebi wako kanitusi sana, nitamkomesha.
Mbona unaguna bibieMmmmh
Mbona unaguna bibie
Haha huyu ni pacha wangu asiponiona anajihisi kuna kitu kinakosekana, si unajua mapacha tenaWatu na nyota Zenu lol
Haha huyu ni pacha wangu asiponiona anajihisi kuna kitu kinakosekana, si unajua mapacha tena
Pacha niunganishie huyu mtoto upate WiFi.
Sijawahi kwa kweliHa ha ha...in real life ushawahi kuombwa umuunganishie MTU?
Pacha niunganishie huyu mtoto upate WiFi.