Namtafuta Kisura (JF member)

Namtafuta Kisura (JF member)

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
2,804
Reaction score
96
Hey ya"ll...Kelly01 is baaaaack!.....

ANywhoo jamani namtafuta my long lost friend MS Kisura...nimejaribu kumcontact kwenye cell yake lakini naona ipo disconnected sijui amebadilisha namba?...na hapa naona sijamuona siku nyingi kidogo toka end of last year...

kama kuna mtu anajua wapi alipo pleaseee let her know Ms Kelly01 anamtafuta maana namuhitaji awe matron wangu kwenye harusi yangu....

oops i am engaged!.....hureeeey!

xoxo
 
Kelly hujambo?
Nyani Ngabu anaendeleaje na therapy?
 
Ujumbe tumeupata,,,,, kuwa kuna anayetaka kubeba!
You should be careful about ya engagement. Hiyo ni step moja ndogo sana. Sio wote wanaovishwa pete huolewa. Kuwa mwangalifu kwa kipindi hiki.
hata hivyo hongera
 
Shem yule mdogo wako bado yupo yupo ? Ngoja niwahi kabla ya akina Yo Yo hawatia timu...
 
Hongera sana,uzoefu wangu unaonesha ni wachache ufikia kufunga ndoa bila ya kuwa na historia ya kuacha au kuachwa huko nyuma.Kuwa makini kama ni relation yako ya kwanza
 
NN mbona amerudi kitambo tu? Labda tumuulize kelly ni NN anaetaka kumchukua jumla au amempiga chini NN.

..nilikuwa namchokoza tu. ila najua kama amechumbiwa na njemba nyingine zaidi ya NN basi mshikaji ataendelea kumega tunda bila wasi kwani tunajua kwa nini Kelly kajifunga kwa keki-kikombe wake
 
..nilikuwa namchokoza tu. ila najua kama amechumbiwa na njemba nyingine zaidi ya NN basi mshikaji ataendelea kumega tunda bila wasi kwani tunajua kwa nini Kelly kajifunga kwa keki-kikombe wake

Kwa hiyo nani hapo atakuwa mshika mapembe kati ya hiyo njema mpya na NN?
 
Thank ya"ll for the lovely wishes...i really appreciate and i will take into consideration wishes zote nilizopewa kwa wale wazoefu wa mambo na wasio wazoefu wa mambo...
lakini bado namtafuta Bi kisura jamani...this is very important to me...anyone?!!

Masanilo....hahaha shem umeniangusha sana..kutumia neno tigo...

Msanii...yaani wewe ni msanii haswa....NN yupo na anaendelea salama kabisa ana dunda.
 
hapo haujatuweka sawa kuwa statasi ya NN ni ipi katika pete uliyovishwa????

Au ndo atabakia kuwa mmegaji maarufu nau? tunajua unachopendea kwake (mangumi, mateke na mitusi) wanawake wa kikurya bwana kaaaz kweli kweli
 
NN yuko kifungoni hajafunguliwa katika mfungo wa Pasaka maana unajua kabla ya siku ya pasaka wafungwa wawili maarufu huwa wanafunguliwa, sasa Baraba hakumfungua NN. Karibu NN wherever you are.
 
Hey ya"ll...Kelly01 is baaaaack!.....

ANywhoo jamani namtafuta my long lost friend MS Kisura...nimejaribu kumcontact kwenye cell yake lakini naona ipo disconnected sijui amebadilisha namba?...na hapa naona sijamuona siku nyingi kidogo toka end of last year...

kama kuna mtu anajua wapi alipo pleaseee let her know Ms Kelly01 anamtafuta maana namuhitaji awe matron wangu kwenye harusi yangu....

oops i am engaged!.....hureeeey!

xoxo
Hongera,ila usibweteke ukadhania ndiyo umeshaolewa,bado;tualikane kwenye shughuli ya handover ceremony kwasababu bila watu kushuhudia tutathibitishaje kama kweli imefungwa ndoa?
 
Back
Top Bottom