Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Shem yule mdogo wako bado yupo yupo ? Ngoja niwahi kabla ya akina Yo Yo hawatia timu...
nasikitika hawezi kukubali mana lazima dada yake atakuwa amemuambia unapenda tigo
Kelly hujambo?
Nyani Ngabu anaendeleaje na therapy?
nasikitika hawezi kukubali mana lazima dada yake atakuwa amemuambia unapenda tigo
NN mbona amerudi kitambo tu? Labda tumuulize kelly ni NN anaetaka kumchukua jumla au amempiga chini NN.
..nilikuwa namchokoza tu. ila najua kama amechumbiwa na njemba nyingine zaidi ya NN basi mshikaji ataendelea kumega tunda bila wasi kwani tunajua kwa nini Kelly kajifunga kwa keki-kikombe wake
Kwa hiyo nani hapo atakuwa mshika mapembe kati ya hiyo njema mpya na NN?
Thank ya"ll for the lovely wishes...i really appreciate and i will take into consideration wishes zote nilizopewa kwa wale wazoefu wa mambo na wasio wazoefu wa mambo...
lakini bado namtafuta Bi kisura jamani...this is very important to me...anyone?!!
Masanilo....hahaha shem umeniangusha sana..kutumia neno tigo...
Msanii...yaani wewe ni msanii haswa....NN yupo na anaendelea salama kabisa ana dunda.
njemba itashika mapembe na NN atakuwa mchinjaji
Hongera,ila usibweteke ukadhania ndiyo umeshaolewa,bado;tualikane kwenye shughuli ya handover ceremony kwasababu bila watu kushuhudia tutathibitishaje kama kweli imefungwa ndoa?Hey ya"ll...Kelly01 is baaaaack!.....
ANywhoo jamani namtafuta my long lost friend MS Kisura...nimejaribu kumcontact kwenye cell yake lakini naona ipo disconnected sijui amebadilisha namba?...na hapa naona sijamuona siku nyingi kidogo toka end of last year...
kama kuna mtu anajua wapi alipo pleaseee let her know Ms Kelly01 anamtafuta maana namuhitaji awe matron wangu kwenye harusi yangu....
oops i am engaged!.....hureeeey!
xoxo