AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
Hongera,ila usibweteke ukadhania ndiyo umeshaolewa,bado;tualikane kwenye shughuli ya handover ceremony kwasababu bila watu kushuhudia tutathibitishaje kama kweli imefungwa ndoa?
Watu kwa MINUSO!!! unaweza kuthibitishiwa bila ya kualikwa, teknolojia imekua sasa. Naskia watatuwekea video from A-Z!!!
Masanilo yeye anataka kufungua vyupa tu au sio shem wa kelly?
Shem yule mdogo wako bado yupo yupo ? Ngoja niwahi kabla ya akina Yo Yo hawatia timu..
mie naomba kuwa mshauri nasaha wa bibi harusi hivyo nipatiwe namba yake tafadhali
Niko serious kale kadogo kako mimi nitafika bei tu.....
....Oohh please shem no way!....ni kama naruka mkojo nakanyaga mavi nikisema ikupe mdogo wangu kyeruuuuuuuu!.
ghee thanx
usikonde ni 1-800-kelly01...Msanii FYI Mimi siyo mkurya na sipendi wanaume wanaopiga mwanaume wangu hayupo yeye hivyo...he is so gentle and a great man.
Oohh please shem no way!....ni kama naruka mkojo nakanyaga mavi nikisema ikupe mdogo wangu kyeruuuuuuuu!.
Oyaah basi wewe niunganishie tu mpe contacts zangu ninakuPM teh teh teh hapa jukwaani kuna Msanii naona naye anasalandia kitu!
Oyaa basi nitaipata kwa my young Bro....kwi kwi
In case hujaelewa vizuri ni 1-800-535-5901....1-800-kelly01 that is my numebr i think i do need kungwi kwenye bridal shower.....kama unayaweza basi itakuwa very alright!
Msanii afadhali hata masanilo namfahamu...sasa nikupe mdogo wangu wewe ni annoymous alafu naogopa sana annoymous...ni bipolar
wala usisumbuke na PM shem wangu ni kwamba NO!..in Caps!....
hapo bado hujawa mama, je ukiwa ndani ya nyumba kamili halafu mkafuga paka wa kike si utamwonea wivu wewe asitoke hata uani asijekuparamiwa na mipaka shume ya kitaa? Kelly lainika kidogo rusha sandakarawe watu tugombee hazina
Shem hebu tupe uhondo.... tueleza bingwa ame propose vipi?....ili nami nitumie njia hiyo hiyo, by the way nimepata mail ya mdogo wako hahahaha natafuta mashairi nimtumie
Ok ilikuwa ni jumapili (easter Sunday) .tulikwenda for brunch after church..then tukarudi nyumbani I think mancherster united walikuwa wana play with this another team ..as you know me I dont like watching fotbal but I just watch it kwa ajili yake .ok so nilikuwa nimevaa boy shot and shati lake kwa juu nay eye alikuwa amevalia ile traki yake na singlendi (LOL!) Huku anakunywa patron and me nilikuwa nimemlalia kwenye mapaja yake
Then after 30 minutes akaniambia babe wake up !nikamwambia why si tunaangalia game akasema no I wante you to watch this video nimerecord I was like ok!...omg! kumbe ile video ni yeye kajirecord bwana akasema Kelly01 nzafla semaganya you know I love you so much and I want to spend the rest of my life with you .will you marry me yaani I cried I was like whaaat?....oh mg god ooh my god! Ooh my god I was like yes! Yes! Yes!..i will marry you!(i was so emotional)....then we kissed!......(curtains closed) .
wooow and i am still emotional!...
Cheers!