Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
- Thread starter
-
- #41
Ohh my God
I like the last part is so romantic, I guess you guys went for a quick one....as usual huwa ni tamu sana....hongereni nina uhakika hakutakuwa na heart breaking kwa mmoja wenu!
Unajua nini shem, hii imekwenda fasta fasta sana unamjua vizuri jamaa...usije kuta anawatoto lukuki kila mtaaa mhhhhh, sitaki uje unilalamikie penzi likichuja!
I am happy for you guyz! kama nikishindwa kuja nitumieni picha walau.....ila usiziweke hapa JF kama mtani wangu nanihiii hahahaha ....penzi bichi tamu kweli hahahahah, jamaa mzuri kila idara? Nadhani umenielewa....! Lol
Ok ilikuwa ni jumapili (easter Sunday) .tulikwenda for brunch after church..then tukarudi nyumbani I think mancherster united walikuwa wana play with this another team ..as you know me I dont like watching fotbal but I just watch it kwa ajili yake .ok so nilikuwa nimevaa boy shot and shati lake kwa juu nay eye alikuwa amevalia ile traki yake na singlendi (LOL!) Huku anakunywa patron and me nilikuwa nimemlalia kwenye mapaja yake
Then after 30 minutes akaniambia babe wake up !nikamwambia why si tunaangalia game akasema no I wante you to watch this video nimerecord I was like ok!...omg! kumbe ile video ni yeye kajirecord bwana akasema Kelly01 nzafla semaganya you know I love you so much and I want to spend the rest of my life with you .will you marry me yaani I cried I was like whaaat?....oh mg god ooh my god! Ooh my god I was like yes! Yes! Yes!..i will marry you!(i was so emotional)....then we kissed!......(curtains closed) .
wooow and i am still emotional!...
Cheers!
Hahahah wewe mchokozi sana!! umejuaje yeye hapendi?
...hizo bold ndo hasa zimenigusa. ina maana baada ya kupropose ulimpa zawadi ya tundi??? kaaaz kweli kweli na hiki kizazi kipya.
Si bure hapo simbaya pia ila hongera sana mwaya.
hapo haujatuweka sawa kuwa statasi ya NN ni ipi katika pete uliyovishwa????
Au ndo atabakia kuwa mmegaji maarufu nau? tunajua unachopendea kwake (mangumi, mateke na mitusi) wanawake wa kikurya bwana kaaaz kweli kweli
njemba itashika mapembe na NN atakuwa mchinjaji
Pole sana NN, lakini bado hujchelewa unaweza kabisa kumvua hiyo pete na ukamvalisha ya kwako bila matatizo yoyote 🙂 Kazi kwako NN.
No worries...NN atakuwa "mchinjaji"....Lol
No worries...NN atakuwa "mchinjaji"....Lol
Wanakwambia shamba la kale rahisi kulilima tena.
Kelly hongera sana!! hiyo njemba ya kupropose kupitia kwenye video inaonekana ina aibu sana au haijiamini.
kwikwikwikwikwikwi.....Umenifurahisha mpaka nimecheka....wala hana aibu ila he came up with his different style you know!....You are so stupid!(In good way though)... hahahaha LOL
Inawezekana jamaa alikuhisi ni mgumu flani hivi wa kuelewa somo; so akaona ngoja apime wingi wa maji kwa fimbo ndio maana akatengeneza movi ili apate uhalisia wa hisia zako ktk hilo!!!
Kabla ya kufunga mapazia na kusherehekea uchumba mlishawahi kupima?? this 4 ur safety both of u.
Unajua wengine ni washauri nasaha wa kujitolea, so don't panick baby!!!
BTW; karibuni ktk chama cha waliohifadhika
Inawezekana jamaa alikuhisi ni mgumu flani hivi wa kuelewa somo; so akaona ngoja apime wingi wa maji kwa fimbo ndio maana akatengeneza movi ili apate uhalisia wa hisia zako ktk hilo!!!
Kabla ya kufunga mapazia na kusherehekea uchumba mlishawahi kupima?? this 4 ur safety both of u.
Unajua wengine ni washauri nasaha wa kujitolea, so don't panick baby!!!
BTW; karibuni ktk chama cha waliohifadhika
Duuu unauliza blanket kaka mwa kumeisha kuchwa hahahah usiwape ugonjwa wa moyo! waliisha pima hata kama ni kwa macho hahahahhaha
Duuu unauliza blanket kaka mwa kumeisha kuchwa hahahah usiwape ugonjwa wa moyo! waliisha pima hata kama ni kwa macho hahahahhaha
Hii thread inazungumzia nini?