Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
umeomba ruhusa? au ndio mambo ya men are polygamous in nature! lolNamtafuta dada mmoja hivi anaitwa Layla. Jina lake la mwisho nimelisahau. Huyu dada alisoma Shaaban Robert miaka ya mwanzoni ya tisini halafu akaja akaondoka kwenda Marekani.
Alikuwa anaishi maeneo ya Upanga Seaview karibu na akina Gwamaka Mwaikambo. Mwenye info za alipo nitafute kwenye PM.
Shukrani.
umeomba ruhusa? au ndio mambo ya men are polygamous in nature! lol
is she the one that got away?
Hahahahahahahaaaa....nah man! I had a crush on her
Namtafuta dada mmoja hivi anaitwa Layla. Jina lake la mwisho nimelisahau. Huyu dada alisoma Shaaban Robert miaka ya mwanzoni ya tisini halafu akaja akaondoka kwenda Marekani.
Alikuwa anaishi maeneo ya Upanga Seaview karibu na akina Gwamaka Mwaikambo. Mwenye info za alipo nitafute kwenye PM.
Shukrani.
Naamini Kelly bado hajaamka sasa au la pangekuwa padogo hapa.Nimeshapewa rukhsa
GWAMAKA yuko in touch na huyu layla,contact gwamaka na atakuunganisha,i could not go any further cause gwamaka wants to know who you areNamtafuta dada mmoja hivi anaitwa Layla. Jina lake la mwisho nimelisahau. Huyu dada alisoma Shaaban Robert miaka ya mwanzoni ya tisini halafu akaja akaondoka kwenda Marekani.
Alikuwa anaishi maeneo ya Upanga Seaview karibu na akina Gwamaka Mwaikambo. Mwenye info za alipo nitafute kwenye PM.
Shukrani.
namtafuta dada mmoja hivi anaitwa layla. Jina lake la mwisho nimelisahau. Huyu dada alisoma shaaban robert miaka ya mwanzoni ya tisini halafu akaja akaondoka kwenda marekani.
Alikuwa anaishi maeneo ya upanga seaview karibu na akina gwamaka mwaikambo. Mwenye info za alipo nitafute kwenye pm.
Shukrani.
una bahati umetumia jina la nyuma ya pazia, namjua handler wake, ni baunsa fulani maeneo ya upanga!!!!! Pangechimbika hapa!!!
GWAMAKA yuko in touch na huyu layla,contact gwamaka na atakuunganisha,i could not go any further cause gwamaka wants to know who you are
una bahati umetumia jina la nyuma ya pazia, namjua handler wake, ni baunsa fulani maeneo ya upanga!!!!! Pangechimbika hapa!!!
Oh i see i haven't been in here for only 2 days!.......cuppy i need some explanation about this now!...
Ooh Cuppy..let your heart not be troubled. You got me on lock. I ain't goin nowhere
Then why unamtafuta mtu wa high school...je na mimi nimtafute wangu?...Unajua na mimi nilikuwa na crush na mtu hahahaha primary school.
Oh Cuppy....I was just lost....I was actually looking for you.
Then why unamtafuta mtu wa high school...je na mimi nimtafute wangu?...Unajua na mimi nilikuwa na crush na mtu hahahaha primary school.
Nilijua tu hii itafikia hapa - wapi wapambe mtie fitna hapa, masanilo,msanii, balantanda, fidel80, msanii jamani fanyeni fitna hapa.