Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Hahaha,
Kweli leo Tlaatlaah na genge lake wameadimika kama mjegeje wa kuku
 
Hao akina Big show watalia siku Maza akiwatoka.
wako tu sana kwenye corridor za lumumba wakimkatia abdul mauno.

Ama nasema uongo dogo The Icebreaker 😆😆
 
Hao jamaa ni kama wazazi wa mwanamke tu, wanafanya kazi na serikali yoyote iliyopo madarakani.

as long as CCM bado ipo basi na wao bado wapo sana hivyo sidhani kama wameathirika kwa lolote
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…