Namtafuta
Lucas Mwanshambwa,
Tlaatlaah na machawa wengine ili nijue msimamo wao juu ya hiki kilichotokea.
Naona wametulia ghafla, huenda aliyekuwa anawalipa zike buku saba Saba ndiye huyu aliyetimuliwa.
Hivyo, ukimwona yeyote kati ya watajwa hawa☝️nijuze maana nawatafuta sana siwaoni.
Asanteni 🙏