Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Orait....nitakuletea umpelekee Diana akuchinjie.....
BTW: Diana ndo alikuzuia kufika jj?
hahah Askofu alisema ulikuwa unafanyia mazoezi ya.. kwenye kiti cha ofc...............lol sasa kwa Mama Big hutakivunja tu utakiacha hapo hapo mtakapokuwa.
Hahaha! Si useme tu ningetengua kiuno kwenye dancing floor lol!Mnamzungusha babu na staili zenu za ujana, mnataka aanguke mbele za watoto?
Hahahahaaaaaaaaaa......... Mama Big kwani ndo tayari ushawekwa kinyumba? Mbona uji nawe watafutwa huku ka jasho la kuku?Hivi Askofu kama yule, kuna haja ya kwenda kanisani? Si kupoteza muda tu?
Eeeeh na hapa yupo....ananisaidia kunionyesha key za keyboard.....anakupa hi...sasa hivi anacheka.....
Babu hivi kiuno chako uwa kinaumia ukiwa unacheza kwenye dance floor na mjukuu kama juzi au huwa ni kisingizio tu
Hahahahaahhaahha usinambie Babu ulikuwa waogopa mikonyezo lol.......... hali ile alikuwa anakunywa kilimanjaro butu angekunywa therengeti au ile ya Roya ingekuwaje?....Si ungehamia dancing floor hadi aondoke? Kama nakuona babu yangu lol
Hahahaha Babu The Finest...mi nlikuwa nadhani ni mapozi tu mbele ya Mam Big..... Babu Bwana.mi nawasiwasi na fiziotherapist wa kiuno chake lol.
Hahaaa...kama vipi ni-link nae ili nimpelekee jogoo dairekti..
Babu The Finest..... kucha zako ndefu hebu njoo nkukate!!Babu hivi kiuno chako uwa kinaumia ukiwa unacheza kwenye dance floor na mjukuu kama juzi au huwa ni kisingizio tu
Hahahahaaaaaaaaaa......... Mama Big kwani ndo tayari ushawekwa kinyumba? Mbona uji nawe watafutwa huku ka jasho la kuku?
Hebu njoo kuna ntu anataka kuludicha loho kwa kukukocha chamaki nchanga wake!!
Kamuulize Askofu. Ndio msemaji wa kiuno cha babu ake mwanajamiiOne.
Naelekea kanisani.........
Babu nilikuwa naona akimwangalia Mama Big kama vile anasinzia sasa sijui ndio ilikuwa staili ya kumuweka sawa au kweli alikuwa ana usingizi
Babu The Finest..... kucha zako ndefu hebu njoo nkukate!!
Mwulize askofu Babu aliteguaje kigudi chake......lol
Hamna noma utatukuta wote hapa.....njoo na barabara ya Sam Nujoma.....sijui utakuwa unatokea wapi?
Kufanya nini? Wewe si unamleta jogoo kwa Diana au umeghairi tena?
Nlikuwa naogopa kunusishwa.... umri huu babu kupiga chafya wala hailipi lol....ugoro anaonletea kajukuu wantosha sana kwenye kunusa.
Kuna kipindi Mama Big aliniambia sijui akafuate dance floor pale lakini akasema ngoja akuache maana anaweza kumfanya babu asiende kwa bibi halafu sasa ikawa taabu
Hivi dance floor ina uhusiano gani na kiuno cha Asprin?