Namtafuta Mariam Gira; Yuko Wapi?

Sophist

Platinum Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
4,486
Reaction score
3,408
Namtafuta Mariam Gira.
Aliishi Kurasini enzi za utotoni na kusoma shule ya msingi Mugulani alipomaliza darasa la saba 1981. Mwaka 1982-1985 alisoma shule ya sekondari, Kibasila, kabla ya kujiunga Jangwani sekondari kwa ajili ya masomo ya juu ya sekondari, nadhani PCM, alikosoma kati ya Julai 1986 na Juni 1988. JKT alijiunga Ruvu (1988/89); hatukuwahi kuonana tena hadi leo.
Tafadhali kama kuna mtu anajua habari zake, au yeye mwenyewe, aweke taarifa zake hapa.
Ahsanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…