Mkuu hongera sana kwa Ujasiriamali.
- Mkuu mimi labda nikushauri jambo moja. Kutafuta partnina wa Biashara ni jambo linalo hitaji uangalifu wa hali ja juu mno. na ni swala gumu mno, ni sawa na kumtafuta mwanamke wa kuoa.
- Mkuu Hili swala huwa lina hitaji umakini sana kwa sababu ukikosea hapa ni kuja kujuta baadae. Patina ni lazima awe na vigezo hivi
1. Lazima muwe na malengo yano fanana, huwezi kuwa na partners ambaye hamfanani malengo yenu.
2. Tabia zake
3. Awe tiyali kutumia muda wake mwingi sana kuitumikia kampuni.
4. Awe tiyali kutumia sehemu ya fedha zake kwa ajili ya kuendesha kampuni
5. Muwazi,
6. Mwenye maono ya mbali
Mkuu mapatiners wa biashara mara nyingi hupatikana miongoni mwa watu ambao umetoka nae mbali sana unamjua tangia akiwa mdogo, amekuwa, amesoma na hata anafanya kazi au biashara unamjua.
Mkuu ukitafuta Partner kama unavyo tafuta rafiki kwenye Facebook utakuja lia.
- Tafuta mtu ambaye unamfahamu tangia mwanzo,
- Hapa utapata wengi but huwezi jua lengo lake ni lipi, huweizi jua tabia zake
1.