Namtafuta mchumba wa kike

Nguzo 5

Member
Joined
May 3, 2019
Posts
7
Reaction score
8
#Nina miaka 26
#Masters degree holder
#Tutorial Assistant katika moja ya University hapa Tz

Namtafuta mchumba awe:

#charming person
#age 19-23
#Christian
#Awe humble
#Atleast awe na elimu hata kama level ndogo but atleast form 4
#Must be serious on a matter on hand, a dream runner, have an inner desire for a family growth.
#Nasisitiza awe serious lengo langu siyo kumbandua, ni uchumba na mioyo yetu ikimeet tufanye family..
#Kurya feminists are HIGHLY PROHIBITED!!
#Njoo Inbox
 
Mkuu umepiga master ya nini? Samahani kwa swali hili sio kwa nia mbaya lakini.
 
Duh umemalizia na Mkurya HARUHUSIWI kujaza au kukuPM?
 
Hahhaha sijui sisi wakuria tulikukosea nn , je umekutana na wakuria wa mjini hatuna mambo ya ubabe, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi sisi wakurya tuliwakosea nini[emoji134][emoji134]
 
Wadogo zetu wanafundishwa na watu wa namna hii ?

Kama ningelikuwa mwanafunzi wako nigehama chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…