Namtafuta mchumba

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Mrefu kiasi,si mnene si mwembamba,si mweupe sana,mwenye mvuto wa asiri na si wa mkorogo

awe mkristu dhehebu lolote,anayejiheshimu na anayemtii Mungu

awe na certificate ama diploma akiwa na kazi ni poa sana

asiwe na mtoto tayari na awe na umri kati ya 21-25,kwa madada aliye tayari nitapenda sana ukanipm,hukohuko ntatoa wasifu wangu pia.

Namaanisha ndugu zangu,kikweli ninahitaji.
 
Rweye......ina maana mpaka leo bado tu hujapata??
Mbona kuna wadada humu huwa wanaweka mabandiko ya kutafuta wachumba..... usinambie huwa huyaoni lol!!

Anyways....good luck!!
 
Last edited by a moderator:
Sina zako pia muhimu

Nafikiri ni vizuri tukafanya pm dada angu ijapo tu mie ni mwanaume rijali kabisa na umri wangu ni 28yrs.

Karibu sana.
 
Rweye......ina maana mpaka leo bado tu hujapata??
Mbona kuna wadada humu huwa wanaweka mabandiko ya kutafuta wachumba..... usinambie huwa huyaoni lol!!

Anyways....good luck!!

Dada angu naamini kabisa hautaweza kuamini ila naomba amini haya maneno yangu.. bado mimi ni single boy.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…