Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yalimshinda alirudi kwa Ileje.Mchungaji Kibona ni rafiki yangu. Alikuwa mchangiaji sana humu na nafahamiana naye. Namtafuta sana sijamuona siku nyingi, miaka zaidi ya mitatu. kama yupo anitafute anajua namba zangu.