Namtafuta mke wa kufunga nae ndoa

Namtafuta mke wa kufunga nae ndoa

sepema

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2019
Posts
591
Reaction score
1,001
Natumai hamjambo.

Mimi nimwanaume wa miaka34 saivi.Nimeajiriwa nipo kikazi Moshi,dini yangu ni mkristo. Nahitaji mwanamke nitakae dumu nae Kweny uchumba kwa muda mfupi(ili tu kujuana kiundani),na ifikapo December mwaka huu tuwe tumefunga ndoa.

Sifa za huyu mwanamke;
Umri miaka 30-33
Awe mkristo wa dhehebu lolote(isipokua mashahidi wa jehova)
Awe mwajiriwa wa serikali(akiwa mwalimu itapendeza zaidi)
Kama hayupo mkoa wa Kilimanjaro awe tayar kuhamia Mara baada ya ndoa.
Mengine tutaelezana pm
 
Natumai hamjambo.
Mimi nimwanaume wa miaka34 saivi.Nimeajiriwa nipo kikazi Moshi,dini yangu ni mkristo.
Nahitaji mwanamke nitakae dumu nae Kweny uchumba kwa muda mfupi(ili tu kujuana kiundani),na ifikapo December mwaka huu tuwe tumefunga ndoa.

Mmg! Jaman sema Umri tuh ndio kikwazo kwangu.
Kuhusu dini naweza nikabadilisha nikaja kwako (Mashahid wa Yehova) ila sasa mbona hujasema halinyako ya kiafya ikoje? status yako?
Namba yakobya simu hujatoa?
Wewe ni kabila gan vile?
Wasifu/Cv yako kifupi ungetuambia??

Maumbile yako je yakoje?
Normal au Abnomaly?( nafkir nimeeleweka vyama)
 
Natumai hamjambo.
Mimi nimwanaume wa miaka34 saivi.Nimeajiriwa nipo kikazi Moshi,dini yangu ni mkristo.
Nahitaji mwanamke nitakae dumu nae Kweny uchumba kwa muda mfupi(ili tu kujuana kiundani),na ifikapo December mwaka huu tuwe tumefunga ndoa.
Sifa za huyu mwanamke;
Umri miaka 30-33
Awe mkristo wa dhehebu lolote(isipokua mashahidi wa jehova)
Awe mwajiriwa wa serikali(akiwa mwalimu itapendeza zaidi)
Kama hayupo mkoa wa Kilimanjaro awe tayar kuhamia Mara baada ya ndoa.
Mengine tutaelezana pm
Nowadays ndoa mnazirahisisha sana. No wonder yanatokea mambo kama ya akina Saidi.

Hivi unadhani ni rahisi kulala kila siku na kuamka na mtu huyohuyo?

Why are you rushing?

What if mtu akapretend for those few month mpaka mkaja funga ndoa halafu ndio ukaanza kuyaona madudu yake?

Haya kila la heri.
 
Kaka ndoa inahitaji mtu amabaye mmefahamiana Sana na mnajuana tabia vizuri Sana, hata kwenu mmelelewaje na ikitokea mmoja wenu akawaanamficha KITU mwenzie hapo pana Shida Sana, kutafuta mtu ambaye yupo tayari kuwa mme au mke Ni kazi hasa now days.
 
Natumai hamjambo.

Mimi nimwanaume wa miaka34 saivi.Nimeajiriwa nipo kikazi Moshi,dini yangu ni mkristo. Nahitaji mwanamke nitakae dumu nae Kweny uchumba kwa muda mfupi(ili tu kujuana kiundani),na ifikapo December mwaka huu tuwe tumefunga ndoa.

Sifa za huyu mwanamke;
Umri miaka 30-33
Awe mkristo wa dhehebu lolote(isipokua mashahidi wa jehova)
Awe mwajiriwa wa serikali(akiwa mwalimu itapendeza zaidi)
Kama hayupo mkoa wa Kilimanjaro awe tayar kuhamia Mara baada ya ndoa.
Mengine tutaelezana pm
Im here
 
Back
Top Bottom