Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Members natumain ni wazima.
Namtafuta mkulima wa ndizi kibiashara na mzoefu vya kutosha hasa shamba la umwagiliaji tuweze kubadilishana uzoefu na kuboresha mashamba na kipato kwa ujumla.
Mfano aina za migomba na changamoto na uzalishaji wake.
Masoko yaliopo na mahitaji yake, gharama husika na namna ya kuzikabili kuzipunguza n.k.