Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Nami naanza hiki kilimo pwani. Sina mwenye experience kubwa sana ninayemjua bali nimeanza kwa kuchunguza sokoPwani
Ni kweli mkuu, hakuna biashara bila kujipanga. Naamini return ipo na wakulima serious nao siku hizi wanaongezekaSina hakika kama hii biashara ina return ya maana sana. Labda ingia field uulize wahusika, wengi wanalima for fun.
Nashukuru sanaNgoja nikutafutie mdau mmoja
Maji ninayo ya kutosha kabisaSema inabidi uwe na maji ya kutosha pia shambani utandaze nyasi ili kuhifadhi maji yasipotee haraka
Nzuri sana jamani! Uko Kibaha sehemu gani?Mwingine huyo ,mi pia Nina migomba Kama Mia + nimeotesha hovyo hovyo na Aina tofauti ila sijanunua ndizi miaka na migomba naweke mbolea ya ngombe ...maisha yanaendeleaView attachment 1702070
Naomba kujua yafuatayo:Miche ya migomba hiyo Bei sh 3000
0755404226
Nipo kiluvya gogoni upande wa policeView attachment 1708044View attachment 1708043View attachment 1708048
SHUKRAN SANA UBARIKIWEShamba langu Ni zaidi ya hekari nne nimelima vitu mchanganyiko Sana !
Kuna miti ya mitiki
Miembe
Minazi
Machungwa
Limao
Ndimu
Mboga mboga
Bustani kubwa ya maua
Ma passion
Migomba Kuna
*Mzuzu
*Mtwike
*Kisukari Aina 3
*Mshare
*Ndizi bukoba
*Fia hii Ni ya bukoba.
*Mkono wa tembo
Vitu vyote sijaotesha kwa mpangilio Ila ndizi inayolipa Ni bukoba na mzuzu.na unaweza kuotesha kibiashara ila uwe mvumilivu maana inachukua miezi 9 kuanza kuvuna .
Mahitaji makuu ya mgomba Ni mbolea ya ngombe na maji .
Kama una chanzo kizuri Cha maji kwanini usivune ?