Kwenye kilimo.hakuna uzoefu we anzac tu kikubwa usiweke ntaji mkubwa nanda pale miaugusuguNami naanza hiki kilimo pwani. Sina mwenye experience kubwa sana ninayemjua bali nimeanza kwa kuchunguza soko
Nashukuru sana kwa ushauri. Nina migomba kama 20 tu kwa sasa japo haitoshi itabidi niitumie hivyo hivyo kujaribu soko.Kwenye kilimo.hakuna uzoefu we anzac tu kikubwa usiweke ntaji mkubwa nanda pale miaugusugu
Ardhi zenye maji maji zimetofautiana sana kuanzia wingi wa maji hadi aina ya udongo uliopo kwenye maji. Maji mengi sana hayafai kwa aina nyingi sana za mimea. Kwenye hiyo ardhi yako ni lazima uijaribu kwa kupanda mgomba na usubiri matokeoNaomba kujua migomba inakubali kukua na kuzaa sehemu yenye ardhi ya maji maji?
Members natumain ni wazima.
Namtafuta mkulima wa ndizi kibiashara na mzoefu vya kutosha hasa shamba la umwagiliaji tuweze kubadilishana uzoefu na kuboresha mashamba na kipato kwa ujumla.
Mfano aina za migomba na changamoto na uzalishaji wake.
Masoko yaliopo na mahitaji yake, gharama husika na namna ya kuzikabili kuzipunguza n.k.
Kiti cha mbele kabisa mkuu, mimi pia niko na wito wa hiki kilimo.
Naambiwa Morogoro maeneo ya mbingu ndio mahala sahiii.
Nasubiri kujifunza
Nami naanza hiki kilimo pwani. Sina mwenye experience kubwa sana ninayemjua bali nimeanza kwa kuchunguza soko
Asante sana, kuna variety tayari nimezipanda kwa majaribio. Williams na FHIA 23
Ndizi ndo biashara ya kufanya unavuna kila siku haina cha msimu ukipata sehemu yenye ardhi nzuri ukapika ata heka tatu njaa ndogondogo unasahau.Sina hakika kama hii biashara ina return ya maana sana. Labda ingia field uulize wahusika, wengi wanalima for fun.
Unaweza kuongelea kidogo about soko lake lilivyo?Ndizi ndo biashara ya kufanya unavuna kila siku haina cha msimu ukipata sehemu yenye ardhi nzuri ukapika ata heka tatu njaa ndogondogo unasahau
Mnazipeleka kwenye masoko makubwa au? Maana kwa magenge ukiwa na mikungu mingi sio rahisi kusupply maana kila genge lina mkungu mmoja tu.Kinachotakiwa ni usimamizi wa karibu mno - kilimo cha migomba kina soko kubwa sababu walaji ni wengi mno.
NB: Kilimo cha kuweka kijana shambani afu wewe unabakia mjini lazima kuna siku upate msiba tena mzito, jitahidi mno uwe karibu na sehemu uliyowekeza.
Inapatikana wapi?Asante sana, kuna variety tayari nimezipanda kwa majaribio. Williams na FHIA 23