Namtafuta Mrs. Nebuchadnezzar

Namtafuta Mrs. Nebuchadnezzar

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,546
Oyo niaje mazee?

Ni takribani wiki mbili sasa tangu, demu wangu niliyempenda aolewe. Kwa kweli, ndani ya hizi wiki mbili nimepitia wakati mgumu sana ila nashukuru angalau moyo sasa umetulia na unanambia nitafute mtu mwingine atakayeufaa.

Kawaida yangu huwa sibishani na moyo. Hivyo napenda kutangaza tenda kwa wadada wote wanaopenda kuwa na mahusiano ya ndani na Nebu mwenyewe. Moyo unanambia atanayechukua nafasi ya Hajir awe na sifa zifuatazo:

1. Awe mrefu, angalau futi 6. yaani sawa na urefu wa kitanda changu.

2. Kuhusu rangi, itapendeza zaidi akiwa mweusi. Weusi wa mbegu ya papai.

3. Asiwe mnene sana. Ila awe kiportable kama ebitoke.

4. Dini, napendelea zaidi awe mkristo.

5. Elimu: Angalau awe na masters. Kama ikitokea ana degree basi iwe ya nursing.

6. Umri, kuanzia miaka 20-26 tu.

7. Awe hajawahi kuwa kwenye mahusiano yyte Yale.

ASANTENI

Vigezo na masharti vimezingatiwa.
 
Jiandae kumpata Jezebel aliyetaka kumchinja Eliya, maana ndio ana sifa hizo uzitakazo
 
Back
Top Bottom