Namtafuta msanii wa kuimba

Namtafuta msanii wa kuimba

Augustking

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Posts
118
Reaction score
188
Habari wana JF

Natafuta msichana kijana mwimbaji mwenye mwonekano wa pop anayejua kuimba kwa Kiingereza katika maeneo ya sinza. awe age kati ya 18 - 21.

Kuna nyimbo za kingereza ambazo atakuwa anaimba kwenye crowd.

NAOMBA TUWASILIANE KWA NJIA YA WHATSAPP +255 759 702 766
nitumie: Whatsapp namba, email na short clip km intro.

Hii ni kazi endelevu na ina malipo mazuri sana
Asante
 
Unaposema ni kazi endelevu na inamalipo mazuri sana....
Malipo mazuri sana kwako ni pesa ngapi mkuu...??
Pia nashauri kwa umri huo nivyema ukamtolea kwa wazazi maana huo ni umri wa A-level ama miaka ya mwanzo chuoni.
Kimsingi huo ni umri ambao binti bado yupo chini ya mamlaka ya wazazi.
 
Asante kwa ushauri wako mkuu nafanyia kazi
 
Chief, hakuna pia nafasi kwa sisi wazee waimba nyimbo za asili/za kilugha? Nina timu yangu ya Mdumange hapa! Acha kabisa. Tunaimba na kupiga sehemu yoyote ndani na pia nje ya nchim

Naomba unitumie sample au clip mkiwa mnaimba naweza kupata client maana nina project kadhaa za lugha za asili na vile vile kama unaweza kuorganize kitu kama hichi n ina mteja ni kazi endelevu
 
View attachment 3133938
Sawa Chief. Ngoja nikawakusanye vijana wangu halafu turekodi show moja hatari, halafu nitakutumia. Kalpana na SweetyCandy mnaruhusiwa kuja kujiunga kwenye kikundi chetu cha ngoma za asili.
 
Habari wana JF

Natafuta msichana kijana mwimbaji mwenye mwonekano wa pop anayejua kuimba kwa Kiingereza katika maeneo ya sinza. awe age kati ya 18 - 21.

Kuna nyimbo za kingereza ambazo atakuwa anaimba kwenye crowd.

NAOMBA TUWASILIANE KWA NJIA YA WHATSAPP +255 759 702 766
nitumie: Whatsapp namba, email na short clip km intro.

Hii ni kazi endelevu na ina malipo mazuri sana
Asantename

kepha bugalama pauline email . bugalamakephaas5@gmail.com, phone no 0687756195 and whasp ,,,mwanza
 
Why 18 hadi 21? Wenye 22,23 na kuendelea hawajui kuimba? Au unataka binti mdogo ili iwe rahisi kumrubuni kingono na kimalipo?
 
Back
Top Bottom