Namtafuta mtaalam wa mapenzi anishauri

Namtafuta mtaalam wa mapenzi anishauri

Mbahili

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
281
Reaction score
525
Habari za muda wanajamii...
Hii nyuzi ni kwaajili ya kuomba ushauri na mahususi tu kwa wataalamu wakunishauri mapenzi..

Kama wewe ni Willy Osomba Onana, usijichoshe kukoment.

Kuna mtoto flani hv kabichi juzi katimiza 19, sasa kaja kitaa changu. Kanaonekana mtu wa dini sana. Ebu wataalamu, nitumie nyavu gani nimdake..

Juzi kapita ananchekea. Nasubiri majibu yenu kwa hali na mali...

Mahudhurio yenu katika koment ndio mafanikio ya shughuli yangu...
 
Samahani mkuu naomba kukuuliza ni mtaa upi huo hasa .


Ili nijue nakushauri nini
 
Back
Top Bottom