wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wakuu naomba kama kuna mwenye kumjuahuyu mtangazaji wa e.fm anaeitwa kicheko a.ka chalii ya marangu!! Aniwekee hata picha yake hapa!!huyu jamaa namkubali sana jana alikuwa anatafsiri picha kwa lugha ya kiswahili kwa kweli nimemfananisha na yule nguli lufufu!!