Namtafuta mtangazaji wa E-FM anaeitwa Kicheko a.ka Chalii ya Marangu

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Wakuu naomba kama kuna mwenye kumjuahuyu mtangazaji wa e.fm anaeitwa kicheko a.ka chalii ya marangu!! Aniwekee hata picha yake hapa!!huyu jamaa namkubali sana jana alikuwa anatafsiri picha kwa lugha ya kiswahili kwa kweli nimemfananisha na yule nguli lufufu!!
 
Hizi Redio nyingine wanaume wa Dar tu ndo wanazijua
 
Huyu hapa
 

Attachments

  • 13636239_299746930363731_913996803_n.jpg
    21.1 KB · Views: 147
masawe mtata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
redio za wanaume wa Dar[emoji23][emoji23] jamani
 
Asante sana mkuu sory!!hivi huyu ndo kipindi hicho alikuwa anaigizaga na akina masawe na kiwewe???
 
Haaa kumbeee!!!huyu ndo masawe mi nilidhani masawe na kiwewe na huyu ni watu watatu tofauti!!mkuu asnt kwa ufafanuzi!!
 
nimesikiliza hii redio iwashike huko huko dar huku mkoani haiwez pendwa haina mpangilio cloud itazidi kusimama daima upinzani wa kutengenezw
Cloudz hata hatusikilz wenzio
Ishaingia kundi la TBC taifa

Huki ni E fm
 
nane nane walikuja bagamoyo kucheza bonanza,yeye akawah kuondoka nikakutana nae njiani,nikampa hi,akanijibu vzur tu hana zile za kujiona malaika mtu,
 
Ki
nane nane walikuja bagamoyo kucheza bonanza,yeye akawah kuondoka nikakutana nae njiani,nikampa hi,akanijibu vzur tu hana zile za kujiona malaika mtu,
Kiupande wangu kwenye kundi la wachekeshaji wa comedy wa eatv huyu masawe naona ni namba 1 yuko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…