Namtafuta mume mwenye sifa hizo

Emmy12

Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
7
Reaction score
20
- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda.
- Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia.
- Mwenye upendo kwa mke na watoto wote bila ubaguzi.
- Dini RC
- Awe anapenda kujishughurisha /kupambana kwa ushirikiano na mke ili kupata kipato kwa maendeleo ya familia.
- Awe muajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
- Awe tayari kupima HIV na kufuata taratibu zote hadi ndoa.
- Asiwe Mhaya na asiwe mlevi pia
-


Sifa zangu

Umri 35
Watoto 2
Numeajiriwa
Sutumii kilevi

Kwa mwenye sifa hizo karibu PM ukitaja wasifu wako, maelezo yako na nia yako ya dhati ndiyo yatapelekea matokeo chanya kati yetu.
 
Sifa zote ninazo ila Mimi ni msabato,naweza nikawa shortlisted au
 
Ndoa mazipenda changamoto mnaziogopa. Mnajua ni kwa nini wanawake wa kikurya huolewa sana kuliko makabila yote???wao sifa yao hitangaza "aonyeshe upendo wa dhati kwa kumpiga mke wake hadi kumtoa damu au ngeu" sasa ninyi mnataka muwe kama mayai msiguswe na saa zote mume asifanye hata kazi awe anawaza kuku pet tu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…