iammmhh waweza kuhisi ni utani ila hii ndio hali halisi dk kadhaa zilizopita
nimeona matangazo ya BANGO ...MAMA AITWAE VALERIAN KABUJE
anatangaza kupotelewa na mumewe alietoweka nyumbani kwao mwaka 2005
kwa kumwacha akiwa na mimba na watoto 4..mumewe anaitwa....Gkabuje
Huuuuuu natumaini ajaenda kwa nyumba ndogo maana dar nayo ina mambo yao!!!
hata siku moja mume hapotei, atarudi tu!
Au labda ameshaolewa!!!!!!!inawezekana tukaona kama utani ..lakini dunia imebadilika sana
Maybe kaenda kwa nyumba ndogo .ooh maharamia walishamteka na kummalizia huko yote yanawezekana
inawezekana tukaona kama utani ..lakini dunia imebadilika sana
Maybe kaenda kwa nyumba ndogo .ooh maharamia walishamteka na kummalizia huko yote yanawezekana
Labda yuko MombasaAu labda ameshaolewa!!!!!!!
Au labda ameshaolewa!!!!!!!
Hajakutana na Da sophy kweli huyo?
nipo nae hapa mlimani sity tunafanya kazi kwenye kampuni ya kufanya usafi......!
kumbe jamaa kaoa eeh?
[COLOR=Gray[B]](maanake huku KAOLEWA)[/QUOTE[/COLOR][/B]]
Geoff hapo kwenye red unamaanisha kweli ama unatania!! jamani kupotelewa na usingizi ni tabu acheni utani na hapo kwenye blue ni kuolewa kwa kumaanisha ajira anayo ifanya ndio imemuowa ama amewekwa ndani na sugar mama
Hajakutana na Da sophy kweli huyo?
God forbid!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!