The Inquisitive
Senior Member
- Oct 27, 2010
- 177
- 29
Hata mie nazihitaji sema sikuwa najua kama ninaweza kizipata kupitia jamvi hili. Ukipata ni pm pia
No problem
Wanajamvi,
Kwa anayejua namna ya kuonana na huyu mzee au contacts zake nisaidieni tafadhali. Nitasubiri PM pia coz contacts are rather confidential.
Ni suala genuine, utani uwekwe pembeni pls.
Hata mie nazihitaji sema sikuwa najua kama ninaweza kizipata kupitia jamvi hili. Ukipata ni pm pia
iNAONYSHA WOTE MNAZIHITAJI contact za mzee huyu!Na mimi pia nitashukuru nikizipata
mnataka mkaombe msaada? acheni kutembeza kapu nyie, fanyeni kazi kwa bidii na nyie mje mtoe kwa wenzenu.
Ofisi yake ipo pale kwenye mzunguko wa Clock Tower nyuma ya zile Tax zinazopaki pale na Ipo ndani ya lile jengo linalouza vifaa vya elekroniki vya jumla vya HISENSE. Ila Email yake na namba yake ya simu uongo si kazi, hata mimi ningependa kuvijua! Serious. :wink2:
Wanajamvi,
Kwa anayejua namna ya kuonana na huyu mzee au contacts zake nisaidieni tafadhali. Nitasubiri PM pia coz contacts are rather confidential.
Ni suala genuine, utani uwekwe pembeni pls.