Huyu katoka wapi tena???Hii ni name calling, mwali ni jina la member hapa JF. Naambatanisha na ushahidi wa picha.
ina mana hujaelewa kweli mada?Huyu katoka wapi tena???
Haya Iris 875, Ndio mimi sasa, na sijui ulijuaje ila niko kama ulivo sema hapo (and I speak some english too, nafundishwa pole pole na deskmate wangu Klorokwini)... Ningekushahuri uifanyie mada yako editing au unambie unanitafutia nini.