M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,843 Reaction score 35,442 Feb 14, 2017 #1 Wakuu heshima kwenu. Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba mnisaidie kumpata huyo mwana JF aliyeandika juu ya machine za kutengenezea mabati na nimetafuta ile thread sijaiona nadhani alisema yupo Mwanza ninahitaji nijifunze kitu kwake.
Wakuu heshima kwenu. Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba mnisaidie kumpata huyo mwana JF aliyeandika juu ya machine za kutengenezea mabati na nimetafuta ile thread sijaiona nadhani alisema yupo Mwanza ninahitaji nijifunze kitu kwake.
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Feb 14, 2017 #2 Anaitwa selham. Ukigoogle neno mashine za kuteneneza bati. Utaipata thread yake
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Feb 14, 2017 #3 Arovera said: .....mnisaidie kumpata huyo mwana JF aliyeandika juu ya machine za kutengenezea mabati na nimetafuta ile thread sijaiona..... Click to expand... Hii hapa >> Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia
Arovera said: .....mnisaidie kumpata huyo mwana JF aliyeandika juu ya machine za kutengenezea mabati na nimetafuta ile thread sijaiona..... Click to expand... Hii hapa >> Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,843 Reaction score 35,442 Feb 14, 2017 Thread starter #4 Asanteni sana