NGAZIJA YOGAYOGA
Member
- Aug 1, 2013
- 31
- 3
Nipo st. JOHN DODOMA nachukua BAED,cna chuki wala ubaguzi,nina upendo na uvumilivu mkubwa.KINACHOCHANGIA HAYA ni kujitambua na pia nimejifunza combat karate JKT pia kwenye chama cha karate tanzania nimejifunza SHOTOKAN na nina GRAND BELT yenye maandish ya kichina na nimeshiriki mapambano 3.NIMETOKEA BUKOBA.KARIBUNI SANA.

Mmmmh! Unatoka Bukoba we muhaya? Basi nshaghairi japo nilikuwa nna shida.
Karibu tupange pamoja mimi nimetokea tanga,ila masuala ya usafiri popote nitagaramia mimi,hata msosi wa usiku usikupe shida,ukitaka kwenda bukoba kila wikendi nitakupa nauli,
Mmmmh! Unatoka Bukoba we muhaya? Basi nshaghairi japo nilikuwa nna shida.
Hayo yote taichii, shotokani, grand belt yana msaada gani? Umeyaandika ili iweje? Au ndio ubukoba, taja gari, hela simu pia. Muhaya gani unalua njaa kushare chumba, panga ghorofa peke yako, by the way mimi ni mdada uko tayari tukae 1 room? Niko mwaka wa pili BBA. Masharti, no kugusa papuchi, na wala usiifikirie hata siku moja, uko tayari nipmNipo st. JOHN DODOMA nachukua BAED,cna chuki wala ubaguzi,nina upendo na uvumilivu mkubwa.KINACHOCHANGIA HAYA ni kujitambua na pia nimejifunza combat karate JKT pia kwenye chama cha karate tanzania nimejifunza SHOTOKAN na nina GRAND BELT yenye maandish ya kichina na nimeshiriki mapambano 3.NIMETOKEA BUKOBA.KARIBUNI SANA.