Namtafuta mwenyeji wa Biashara ya Samaki ziwa Viktoria

Goodluck7

Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
10
Reaction score
12
Wakuu habari ya kushinda, samahani naomba kwa aliye na mwenyeji wa mfanyabiashara wa samaki ama dagaa wa ziwa victoria aniunganishe naye.

Namba yangu ni 0623197340 naomba anitafute nina mazungumzo kidogo
 
Kwani wewe upo mkoa gani? Mwanza, Mara ama Kagera. Mitaa ipi?

Tuanzie hapa kwanza
 
Acha hizo mkuu, usimuhukumu mtu kutokana na kabila lake. Yeye kuwa Mkurya haimaanishi kuwa ana hizo tabia.
Tungeungana, sema ni kwa vile tu ninyi wakurya ni wakorofi sana na pia ni watu wa kujikweza na kujisikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…