Namtafuta Nambua Mlaki

Status
Not open for further replies.
......game siku hizi huyo binti ni meneja wa biashara za mama yake...one of them ni NEEMA HIGH SCHOOL-MBEZI BEACH......jaribu ku goggle hiyo jina then kama wana website ..definatelly nenda kwenye contacts...na kama kuna mobile inaweza kuwa yake au ya mtu atakayekuwa reliable kukupa namba yake......utatuambia basi kama ukifanikiwa ili tujipange kabisa..

definattely najuwa game anataka ngombe na maziwa yake.......si unajuwa maziwa siku hizi kila mahala unapata...kula kitu roho napenda..
 
GT, nione...ila what will I get in return?
Nothing comes for free!!!
 
GT, nione...ila what will I get in return?
Nothing comes for free!!!

Nitakulink up na Binti mmoja wa KiArabu mwenye asili ya Ngazija anaishi sehemu moja inaitwa AL RASHIDIYA -DUBAI na anafanya kazi kampuni moja ya estate agency inaitwa EMAAR PROPERTIES kama meneja wa division ya Emaar international

Binti ni mbichi bado na very soon atahhamia kule UM SAQIN kule karbu bna Dubai Marina kwenye villa yake . she is only 23 single and of course ready to mingle....na kama ndugu yangu sioni tabu why not usioe kabisa maana interms of pesa binti tayari pesa zipo na kama unavyojua sie wengine ni watu wa operations hivyo pesa za mwanamke zinakuwa za Community yaani ZETU WOTE . Pili binti ni MSOMI, tatu ni mzuri kama alicia Keys lakini tofauti ni kuwa alicia keshaanza kunenepeana na kaanza kuwa Kizee

Tatu she is quite adventurous na kiswahili hajui vizuri na nne siwezi sema zaidi lakini itabidi niwepo kama stakeholder mtakapo kutana pale Mall of Emirates maaana nimeambiwa Dubai Mall imejaa washamba


sasa lete info za Nambua kisha tuunganishe mambo
 


Si haba hata kidogo nia yangu ni nzuri lakini kwanza nijaribu kama nitaenea au unasemaje?
 
Hapa ndipo naipenda JF Mkuu GT kama Icadon akilemaa nipe pande Mtanashati mwenzio nijirambe! Kuhusu Nambua nitakwambia kama anafaa au hafai kwa sasa si unajua hizi chips mayai na kuku wa kisasa she can be like puto
 

Sounds good to me!!!
Angalia PM yako all the info you need...Good Luck
 
Hapa ndipo naipenda JF Mkuu GT kama Icadon akilemaa nipe pande Mtanashati mwenzio nijirambe! Kuhusu Nambua nitakwambia kama anafaa au hafai kwa sasa si unajua hizi chips mayai na kuku wa kisasa she can be like puto

Checkmate player!!!
 

Mkuu pole sana kwa kupotezana na Nambua. JF ni uwanja mpana natumaini atakuwepo mtu anayemfahamu na kumfikishia ujumbe.

Nami ningefurahi kupata mawasiliano na Nambua coz ni muda mrefu sana tangu tuliponana wakati tunasoma sekondari. Nambua popote ulipo pls tuwasiliane (bongosamurai@yahoo.com). MANDINGO WHYYYYYY (hope bado unakumbaka hilo jina we used to call each other)
 
Nadhani kwa vyovyote GT kampata tayari Nambua maana amepotea mara tu Icadon alipomtumia PM. Congratulation GT🙂
 
ukimkossa kote huko nenda pale sinza vatican ana duka la nguo za kike linaitwa Casandra hapo utampata
 
kaka huyo utampata kwenye 074******** au 074******* au 02*******

ukimkossa kote huko nenda pale sinza vatican ana duka la nguo za kike linaitwa Casandra hapo utampata

Please refrain from posting personal telephone numbers on public forums. Unless the number in question is for public consumption, we discourage such actions at JF. Private Messaging is an alternative should one need to. Have a good day !
 
nimekupata pain killer please JF toa hiyo message
 
Mpigie simu mama yake ama baba yake Nambua.

Mama yake ni mbunge wa jimbo la kawe, ukiingia kwenye website ya bunge utapata namba yake. Ama mpigie baba yake tume ya mawasiliano kama kweli unamtafuta Nambua kwa mema.
 
Thread is to close, any issues please PM. Have a good day !
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…