AhsantePole mkuu Kila la kheri
AhsanteKila lakheri.
Kwamba anaweza kuwa ni mkewe au? 😅Minaona kuna jambo haujalisema vizuri mkuu..🤔
Jamaa ilitia binti mimba, kisha ikaona sio taip yake na binti akaamua kumuachia mtoto, kisha jamaa akampeleka mtoto kulelewa na wazazi wake.Kwamba anaweza kuwa ni mkewe au? 😅
Yawezekana walishaunganisha uduguKwamba anaweza kuwa ni mkewe au? 😅
Sio kweli,ingekua hivo ningekua nshampata,nataka mtoto ampate mama yake ili amjue mama yake,naomba kama atapatikana itakua nzurJamaa ilitia binti mimba, kisha ikaona sio taip yake na binti akaamua kumuachia mtoto, kisha jamaa akampeleka mtoto kulelewa na wazazi wake.
Leo jamaa amejitafuta kajipata sasa mtoto pia amekua na amesha anza kumuulizia mama yake.
Hapo ukichekecha ubongo utagundua mtoto kuna kitu anakosa kwasababu haishi na baba wala mama..
Rekebisha na unyooshe maelezo kwanza, mwanamke siyo ndugu yako, sema unamtafuta mzazi mwenzako na uongezee nyama, huwezi kuzaa na mtu huna details zake za kutosha.Ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard, nilipotezana nae mwaka 2012 akiwa Katoro Geita, alikua anajihusisha na kazi ya mama ntilie ila kwao ni mzaliwa wa Ngara.
Lengo la kumtafuta aliacha mtoto wake mdogo sasa hivi kawa mkubwa anatamani kumuona mama yake.
Kama kuna mtu anamfahamu au anafahamu alipo naomba tuwasiliane
mkuu ulijikuta vipi na huyo mtotoSio kweli,ingekua hivo ningekua nshampata,nataka mtoto ampate mama yake ili amjue mama yake,naomba kama atapatikana itakua nzur
Nimetrace ngara wakasema hko hajawahi kurudi, ila wanasisitiza tangu aende katoro hajawahi kuonekana,ndo imebidi nilete kwenu waungwana mnaweza kuwa mshamuona sehem alipoKama bado yupo hai utampata tu,
Mara ya mwisho kuwasiliana nae ilikua lini? na alikwambia kua yupo wapi?
Huwajui hata jamaa zake,ndugu au marafiki zake?
Unaijua Shule aliyosomea? aliishi wapi kabla ya kukutana na wewe? huko alipoishi,lazima majirani zake watakua na details ambazo zitakusaidia pakuanzia,
All the Best na hongera kwa kumlea huyo mtoto.
Uzuri wa JF siku hizi tunaongea mpaka na majini.Nimetrace ngara wakasema hko hajawahi kurudi, ila wanasisitiza tangu aende katoro hajawahi kuonekana,ndo imebidi nilete kwenu waungwana mnaweza kuwa mshamuona sehem alipo
Aliondoka katika kutafta maisha,mtoto nilibaki nae kama ndugu,ila baadae upatikanaji wake ukawa wa shidaMungu akusaidie umpate, ila ilikuwaje akakuachia mtoto? Ni ndugu yako kivipi? Natamani kujua ila kama haupo tayari kusema kuwa na amani