Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Kama uzi unavyojieleza mimi ni kijana wa miaka 25 ni mwanafunzi nipo chuo mwaka wa 3.. Nitarajia kumaliza mwakani mwezi wa 7 kwetu kabisa mkoa wa mtwara Nina.. Msukumo mkubwa Sana baada ya kumaliza Masomo niingie mzigoni kusaka pesa Kwa njia ya halali nimeona nitafute partner au Rafiki wa kushare nae najua peke yangu siwezi natafuta network nimesoma vitabu vingi Sana vya jinsi ya kujitafutia pesa na kufanikisha nakuta point lazima niwe na kampani.
Sifa.. Awe Ana Nia kweli ya kutafuta pesa
Awe na tabia njema
Asiwe mpenda madem Sana rejea kitabu cha ngoswe penzi kitovu cha uzembe
Awe mwaminifu Kwa kipindi Choote.
Karibu Sana Rafik yangu njoo tuibadili Dunia inawezekana kabisa..
Awe tayari kushirikiana kusoma vitabu tupate aidia vitabu ninavyo softcopy kama Ile Think and grow rich.. Nk.
Utajiri upo kila sehemu lakini watu wengi hawajajifunza jinsi ya kuupata