Namtafuta rafiki yangu anaitwa Anamary, alikuwa akiishi Kamachumu alihamia Dar es Salaam

Ulban

Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
8
Reaction score
1
Habari,

Naitwa Khamis. Namtafuta rafiki angu tumepotezana ni mwaka sasa na ushehe hatujawasiliana. Sina mawasiliano yake, anaitwa Anamary/ Intisary alikuwa akipenda kujiita Maysara

Alikuwa akiishi Kamachumu baadaye alihamia Dar es Salaam. Just namtafuta Kwa anayemfahamu naomba connection. Namba yangu ya simu: 0685261957
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…