CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Hello wakuu!
Huyu ni rafiki yangu tulikutana hapa hapa JF.
Tulizungumza mengi sana kuhusu 'tafsiri za ndoto' karibu kila siku tunazungumza hayo.
Bahati mbaya nikapoteza simu yangu, namba yake ikapotea na ID ya JF nayo ikapotea. ID yake sikumbuki maana tulikuwa tunawasiliana zaidi kwa namba za simu
Now, nipo Dubai natamani anionyeshe viunga vya hapa Dubai (hahahahahaha!)
Najua anapitagapitaga sana huku, pls naomba nicheki PM
Huu uzi tusaidiane ku boost hadi aone.
Thanks!