Namtafuta salehe juma mpinga.

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
530
Wadau wa JF namtafuta rafiki yangu wa siku nyingi anayeitwa Salehe Juma Mpinga. Tulimaliza Shule ya Msingi pamoja pale Uwanjani P/ School ( Kawawa P/ School) kule Kigogo- Luhanga kwa Binti Kahenga mwaka 1987.

Yeye aliendelea na Masomo ya Sekondari (O'Level) pale Tambaza Sec. School na mimi nikaenda Azania Sec hadi mwaka 1991 tulipoachana rasmi. Yeye baadaye alichaguliwa kwenda kusoma EGM kule Milambo High School Tabora. Wakati mimi nilienda Forest Hill Sec kule Morogoro na hatukuonana wala kuwasiliana tena.

Kama kuna mtu anajua alipo huyu ndugu Salehe Juma Mpinga naomba anifahamishe tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…