Namtafuta Sarah Koola

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Namtafuta sana sarah koola - niliwahi kusoma nae shule ya msingi yeye pamoja na kaka yake aliyekuwa anaitwa obi pia tuliwahi kuishi karibu enzi hizo

mwenye namba yake au email yake anipe nimemiss kweli huyu dada
 
Duuuh unamtafutia kwenye thread ya mahusiano/mapenzi.....job true true.
 
ingia kwenye facebook type jina lake, alafu akitokea mtumie msg kama anataka kuongea na wewe atakujibu kama hataki ndio hivyo usilazimishe
contact zake ni nazo lakini siwezi kukupa wewe
nimekusaidia nakupa link yake ya face book ndio hiyo sarah koola
kila la heri
 
AU mpigie ZADOCK kOOLA,au nenda outdoor mkuu mirambo street.powa kaka
 
Radio Free Africa wana kipindi cha kutafuta waliopoteana, jaribu kucheki huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…