Nahitaji kuanzisha biashara ya rasta tu nataka nianze na mtaji wa bero moja la sh 90000/= nilivyofanya uchunguzi lina rasta 100. Nahitaji kuuza kwa sh 1200.
Naomba msaada wa wakala pia naomba mnisaidie mtu atakayekuwa ananifanyia hii biashara niwe namlipa sh ngapi(my agent), pia shelves ziwe za mtindo gani na maoni tu mengine kiujumla mtakayoona yanafaa karibuni.